Sensa ya watu na makaazi Tanzania
SENSA YA WATU NA MAKAAZI TANZANIA
Siku ya jumanne sawa na tarehe 23/08/2022 Ndio siku ya mwanzo ya sensa na tarehe zilizo fuatia zilikuwa tarehr rejea matokea yalitoka n kupatikana idadi ya wananchi 61,672,582
wanawake ni 31,543,087 na
wanaume 30,143,567
Comments
Post a Comment